Kikosi cha ushindi Informatics Football Club.
Katika mechi hiyo iliyofanyika katika uwanja wa mpira wa Central High school. Tuliibuka kidedea kwa magoli mawili kwa moja.
Na Chuji andio aliibuka kifua mbele baada ya kuifungia timu yake magoli yote mawili.
nimeipenda hyo tunakuja kwa kasi nw katika mambo ya soka na ma-gudtymz mengine yaukweli
ReplyDelete