Thursday, April 22, 2010

KAMPENI ZA VIONGOZI WETU WATARAJIWA


Kampeni zilianza rasmi tarehe 12/04/2010 na kudumu kwa muda wa wiki mbili. Hapa ni taswira ya ubao wetu wa matangazo.

Mwanawima akijinadi ndani ya Campus ya Informatics.


Na maswali yaliibuka kwa kuonyesha ukomavu wa kisiasa mwanadada Doricas aliibua hoja kwa wagombea kuwa wao wanatoa sera zilizile je ni kipi kitawapa imani na utekelezaji wa sera zao.
safi Dada doricas lazima uhoji pale mambo yasipokaa sawa..


Wadau wa Info wakifuatilia kwa makini sera za Viongozi waloikua wakijinadi.

hapo viongozi waliokua kwenye msafara wa Kusambaza sera zao, katika college mbalimbali,
Mwenye suti nyeusi ni ndugu Isaya Josephat ambaye anasimama kwa kutaka uwenye kiti katika college ya Informatics, Mrefu aliye katikati anajulikana kama ndugu Singo ambaye nae pia anasiama katika kinyang'anyiro cha uwenyekiti wa college of soccial Science na Mwasho ni Mdau mkuu wa blog ya Informatics ndugu Salum nyamwese (Nyamwese Jr).


No comments:

Post a Comment