Thursday, May 13, 2010

SEAN KINGSTON IN DAR

Sean Kingston atua Dar usiku wa kuamkia leo
Mwanamuziki maarufu toka nchini Marekani,Sean Kingston akiwa na Mkurugenzi wa masoko wa TBL,David Minja (kulia) pamoja na Meneja wa Bia ya Kilimanjaro,George Kavishe (pili kushoto) wakitokea ndani ya uwanja wa ndege wa kimataifa wa JK Nyerere usiku wa jana.
Mwanamuziki maarufu toka nchini Marekani,Sean Kingston (pili kulia) akiongozana na Meneja wa Bia ya Kilimanjaro,George Kavishe (kati) kutelekea katika gari iliyokuwa imeandaliwa rasmi kwaajili yake wakati alipowasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa JK Nyerere usiku wa jana.
Sean Kingston akiingia katika gari lililokuwa limeandaliwa kwa ajili yake.
baadhi ya wanamuziki walioongozana na Sean Kingston wakielekea katika usafiri walioandaliwa.baadi ya wadau waliofika katika kiwanja cha ndege cha kimataifa cha JK Nyerere kwaajili ya kumpokea Mwanamuziki wa Kimarekani mwenye asili ya Jamaica,Sean Kingstone pamoja na timu yake ambao wamewasili usiku huu na ndege ya shirika la KLM.

POLENI WADAU MTAKAO MISS SHEREHE HII YA TUNZO ZA KILIMANJARO

No comments:

Post a Comment